Sven wa Simba aibukia Morocco, alamba dili nono
Baada ya kuiacha klabu ya @simbasctanzania katikati ya msimu kocha raia wa Ubelgiji Sven
Vanderbroeck ameibukia katika klabu ya Rabat Far ya nchini Morocco 🇲🇦 ikidaiwa amesaini mkataba
wa miaka miwili.
Hii inatokana klabu hiyo inayoshiriki ligi ya Morocco kumtimua kocha wake Talib siku kadhaa nyuma.
Sven aliondoka Simba kwa taarifa zilizoelezwa na klabu hiyo kuwa ni kutokana na majukumu ya
kifamilia.
No comments: